Platform zinazoizidi YouTube kwa malipo

YouTube

Huduma za ku-stream muziki ndio chanzo kikubwa cha mapato kwa wanamuziki ulimwenguni kote ambapo katika kipindi cha mwaka 2019, ku-stream muziki pekee kulitengeneza zaidi ya dola Bilioni 11.1, na kufanya tasnia ya muziki kuwa na mabadiliko makubwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS