VPL michezo miwili leo, Azam kukipiga na Namungo
Ligi kuu soka Tanzania bara inaendelea tena leo kwa michezo miwili raundi ya 32, KMC watakuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar Saa 8:00 Mchana na Namungo wanawaarika Azam FC mchezo utakao chezwa Saa 10:00 jioni.

