Rozay kuachia album majira ya joto Picha ya msanii Rick Ross Bosi wa Maybach Music Group (MMG) Rick Ross amethibitisha kuja na album mpya mwaka huu katika majira ya joto na ameiita ‘Richer Than I've Ever Been’. Read more about Rozay kuachia album majira ya joto