Atlanta Hawks na Milwaukee Bucks kuumana fainali

Hawks imeshinda Game 7 dhidi ya Philadelphia

Atlanta Hawks imeshinda mchezo wa 7 (Game 7) kwenye mfululizo wa michezo ya nusu fainali Ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA, ukanda wa Mashariki dhidi ya Philadelphia 76ers, na kutinga hatua ya fainali ukanda wa mashariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS