Rekodi za Italia kiboko, sasa wanatazamwa tofauti
Baada ya timu ya taifa ya Italia kutopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa michuano ya mataifa barani Ulaya Euro 2020, kabla ya michuano kuanza Juni 11 sasa timu hiyo inatazamwa kwa jicho la tofauti baada ya kushinda michezo yote mitatu ya makundi.

