Madalali matapeli wajifanya TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema kuna tabia iliyojitokeza ya baadhi ya watu kujifanya kuwa wao ni madalali kati ya jamii na TAKUKURU na wanaweza kuwasaidia watu kuonana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Kamishna wa Polisi Salum Hamduni,