MC Mboneke asubiri kibali cha Mungu afungue kanisa
Mchekeshaji MC Mboneke
Mchekeshaji MC Mboneke aliyejizolea umaarufu hivi karibuni kupitia vichekesho vyake vya irudiwe irudiwe, amesema kuwa endapo Mungu atampa kibali cha kufungua kanisa basi atafanya hivyo.