Abakwa na vijana 9 wa Kimasai

Mwanamke aliyebakwa

Mama mwenye umri wa miaka 41 ambaye jina lake limehifadhiwa amebakwa na vijana 9 wanaodaiwa kuwa ni jamii ya Kimasai katika kijiji cha Mtakuja, Kata ya Dakawa wilayani Mvomero mkoani Morogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS