Polisi wawili wajeruhiwa England VS Ukraine Polisi wakati wa makabiliano na mashabiki mitaani London Polisi wa Metropolitan nchini England wamethibitisha kuwashikilia watu 9 ambao wamehusika na vurugu baada ya mechi ya robo fainali ya EURO 2020 kati ya England vs Ukraine. Read more about Polisi wawili wajeruhiwa England VS Ukraine