Brook Lopez aibeba Milwaukee Bucks fainali NBA
Timu ya Milwaukee Bucks imefanikiwa kupata ushindi wa alama 123-112 dhidi ya Atlatnta Hawks kwenye mchezo wa mzunguko watano wa fainali ya Ligi ya kikapu nchini Marekani 'NBA' ukanda wa Mashariki alfajiri ya kuamkia leo na kuongoza kwa ushindi wa jumla wa michezo 3-2.

