Hatma ya Uchaguzi wa TFF kujulikana leo

Wallace Karia Rais wa TFF anaetetea nafasi yake na mgombea pekee wa nafasi ya urais aliyepitishwa na kamati ya uchaguzi

Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam leo saa 6:00 mchana, itatoa maamuzi ya shauri dogo kuhusu Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF ambalo limefunguliwa na aliyekuwa mgommbea wa nafasi ya Urais Ally Saleh.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS