DMX kupewa heshima

Picha ya msanii DMX

Swizz Beatz, Busta Rhymes na wasanii wengine waliowahi kufanya kazi na The late Rapper DMX watapata nafasi ya kufanya show ya kutoa heshima kwa mkongwe huyo kwenye  tuzo za BET zinazotarajiwa kufanyika siku ya Jumapili, Juni 27, 2021.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS