BongoMovie kuweka kambi Wilayani Rorya Msanii Niva Supa Marioo Msanii wa filamu Niva Supa Marioo amesema BongoMovie wanajipanga kuweka kambi Wilaya ya Rorya mkoani Mara ambapo msanii mwenzao Juma Chikoka maarufu Chopa Mchopanga ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya hiyo. Read more about BongoMovie kuweka kambi Wilayani Rorya