Yajue makato ya kodi ya simu yaliyopendekezwa
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa ufafanuzi kwa upande wa kodi za simu zitakazokatwa na serikali kupitia vifurushi atakavyojiunga mtumiaji ambapo kwa atakayejiunga muda wa maongezi wa mwezi mzima kwa kuanzia shilingi 10,000 hadi 25,000 atakatwa shilingi 112 pekee.

