Ummy amtaja RC bora, awataka wengine wajitafakari
Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu, amemtaja mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, kama mkuu wa mkoa bora kwani amekuwa akiwashirikisha katika masuala mbalimbali na kuwataka wakuu wengine wa mikoa kujitafakari na waige mfano bora kutoka kwake.