CUF yasikitishwa Watanzania kukosa furaha
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amesema Baraza Kuu la chama hicho limehuzunishwa na ukosefu wa hali ya furaha miongoni mwa Watanzania katika maisha yao unaotokana na umasikini na uvuinjifu wa haki za binadamu.