Matola aitaja jeuri ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar

Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola.

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara, Wekundu wa msimbazi Simba wanatazamiwakuanza kucheza michezo yao ya viporo dhidi ya Mtibwa Sukari saa 10:00 jioni ya leo April14,2021 kwenye dimba la Mkapa huku kocha wake msaidizi Selemani Matola akitamba kuibuka na alama tatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS