Sanga ahimiza wawekezaji katika vilabu kulindwa

Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga akizungumza na Waandishi wa Habari.

Mbunge wa Jimbo la Makete, Festo Sanga ametoa mchango wake katika bunge la Bajeti lililokuwa linaendelea Jijini Dodoma na ameainisha mambo manne muhimu kuhusu sekta ya michezo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS