Kiboko ya Messi Gil Manzano apewa El Clasico Jesus Gil Manzino mwamuzi atakaye chezesha El Clasico Mwamuzi Jesus Gil Manzano ameteuliwa kuwa mwamuzi wa pambano kubwa la ligi ya Uhispania maarufu kama La liga katika mchezo utakaochezwa jumamosi hii ya tarehe 10/4/2021. Read more about Kiboko ya Messi Gil Manzano apewa El Clasico