RC Mghwira asimulia alivyodharauliwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema tangu kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa huo ameshakutana na hali ya kudharauliwa kutokana na yeye kuwa mwanamke ndani ya uongozi. Read more about RC Mghwira asimulia alivyodharauliwa