Waziri Mkuu aahidi kushamiri sekta binafsi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amesema serikali itahakikisha sekta binafsi inashamiri kwa kuainisha fursa zilizopo na kuweka vipaumbele vitakavyowezesha maendeleo ya sekta hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS