Wakenya wa mipakani kusali Tanzaia Picha Ikulu ya Kenya Wananchi wa Kenya wanaoishi katika mipaka ya Kenya na Tanzania wameahidi kuendelea kwenda kanisani upande wa Tanzania iwapo Serikali ya Kenya haitaondoa marufuku ya kuingia katika maeneo ya ibada. Read more about Wakenya wa mipakani kusali Tanzaia