Scolari afunguka wabaya wake waliomuondoa Darajani
Kocha wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu za taifa za Brazil na Ureno, Luiz Filipe Scolari amesema mahusiano mabaya na nyota wawili wa zamani wa timu hiyo Didier Drogba na Nicolaus Alneka ndiyo yaliomuondoa Chelsea.