Lewandowski aipa jeuri Bayern Munich
Mabingwa wa ulaya klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imejitoa kwenye mbio za kumuwania mshambuliaji Erling Haaland wa Borussia Dortmund mwishoni mwa msimu huu kwa sababu tayari wanamshambuliaji bora Dunia Robert Lewandowski, amesema mtendaji mkuu wa klabu hiyo Karl-Heinz Rummenigge.