Dk.Mpango ateuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Dkt. Philip Mpango.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Machi 30, 2021, amependekeza jina la Dkt. Philip Mpango, kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS