Keane: Kane aondoke zake!

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane.

Nahodha wa zamani wa klabu ya Manchester United, Roy Keane amemshauri mshambuliaji a Harry Kane kuihama Tottenham Hotspurs mwishoni mwa msimu huu iwapo atahitaji kushinda mataji na kuikuza hadhi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS