Conte atumika kumbakiza Lukaku Inter Milan
Romeru Lukaka ataendelea kusalia katika klabu ya Inter Milan kwa muda wote ambao kocha wa kikosi hicho Antonio Conte ataendelea kuwepo klabu hapo na tayari mazungumzo ya mkataba mpya yameanza, vilabu kadhaa vimeonyesha nia yakutaka kumsajili mshambuliaji huyo.