Alexander Arnold hana chake timu ya Taifa
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza ' three lions' Gareth Southgate, ametangaza kikosi cha wanandinga 26 kwa ajili ya mechi mbili za kufuzu kombe la dunia 2022 Qatar bila uwepo wa mchezaji hata moja kutoka katika kikosi cha liverpool.