Shambulio lapiga hospital Myanmar Watu wasiopungua 34 wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya mashambulizi ya anga kutoka kwa jeshi la MYANMAR kupiga hospitali iliyoko magharibi mwa nchi hiyo Read more about Shambulio lapiga hospital Myanmar