Manchester United yarejea kileleni na rekodi kali

Matukio mbalimbali kwenye mchezo wa Fulham dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa usiku wa jana ambapo umemalizika kwa Manchester kushinda mabao 2-1.

Klabu ya Manchester United ‘Mashetani wekundu’ wamefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu England ‘EPL’ baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fulham usiku wa kuamkia leo tarehe 21 Januari 2021 na kufikisha jumla ya alama 40.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS