Wakazi Bariadi wamlilia JPM kuwanusuru watoto wao

Mfano wa mwanafunzi mjamzito (Picha kutoka mtandaoni)

Wakazi wa Kijiji cha Mtale, mkoani Bariadi wamemlilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasaidia kukamilisha ujenzi waliouanza wa shule ya sekondari ili kuwanusuru watoto wao wanaokatisha masomo yao kutokana na kubeba ujauzito.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS