Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi TTMA

Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dkt. Steven Justice Nindi kuanzia leo, Januari 17, 2020, na nafasi iyo itajazwa hapo baadaye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS