Hizi ndio takwimu kuelekea Manchester Derby

Kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjær na Kocha wa Manchester City Pep Guardiola

Manchester United wanawaalika majirani zao Manchester City kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la Carabao CUP leo Usiku, ikiwa ni katika harakati za kusaka tiketi ya kucheza fainali katika dimba la Wembley, na mshindi wa mchezo huo atacheza dhidi ya Tottenham kwenye mchezo wa fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS