Askari aliyekutwa na gongo na viroba afukuzwa kazi

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Salum Hamduni

Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limesema kuwa Askari William Joseph, aliyekutwa na gongo, viroba, misokoto 20 ya bangi na kujiunganishia umeme nyumbani kwake kinyume cha utaratibu, amefukuzwa kazi kwa fedheha na jalada la kesi yake limepelekwa ofisi ya mashtaka kwa hatua zaidi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS