Tito na Theodory waachiwa huru, wapewa adhabu hii

Pichani kushoto ni Theodory Giyan na katikati ni Tito Magoti

Afisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti na mwenzake Theodory Giyan, leo wameachiwa huru na kukubali kulipa faini ya milioni 17, baada ya kukamatwa Desemba 2019 na kufunguliwa mashtaka matatu ikiwemo la utakatishaji wa fedha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS