Aggrey Morris kuagwa rasmi mechi ya Taifa Stars

Agrrey Morris alianza kuitumikia Taifa stars mwaka 2010

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, limetangaza mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), dhidi ya timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, utatumika kumuaga mchezaji Aggrey Morris ambaye ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya taifa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS