Liverpool kukipiga na SOTON EPL leo
Mabingwa watetezi wa EPL Klabu ya Liverpool saa 5:00 kamili usiku wa leo tarehe 4 Januari 2021 inarataji kushuka dimbani ugenini kuchuana na watakatifu wa Maria, klabu ya Southampton kwenye mchezo wa mzunguko wa 17 wa ligi Kuu England.