Ndoto iliyotimia kwa beki Yassin wa Yanga
Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Yanga, Yassin Mustapha Salum amesema kitendo cha kuitwa kwenye timu ya taifa ya Tanzania kwa wachezaji wanaocheza ndani kwajili ya michuano ya CHAN, ni kutimiza ndoto yake ya muda mrefu.