Mugalu apewa jukumu dhidi ya FC Platinum

Mshambuliaji Chris Mugalu

Kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika raundi ya kwanza kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe, Simba imesema Chris Mugalu ana jukumu maalum.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS