Ajali ya treni Dodoma yauwa mtoto na watu wazima
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) leo Januari 3, 2021, kuhusu ajali ya treni iliyotokea Dodoma, majeruhi ni 66 na waliofariki ni watatu. Kati ya hao watatu mmoja ni mtoto na watu wazima wawili.