Jambazi auawa usiku wa kuamkia 2021
Mtu mmoja anayedaiwa kuwa jambazi ameuawa na jeshi la polisi mkoani Kigoma, wakati wa majibizano ya risasi na wenzake watatu kufanikiwa kukimbia wakati wa doria ya mkesha wa mwaka mpya 2021, huku silaha ya kivita aina ya AK47 ikipatikana.