Dar es Salaam kama Ulaya ilivyotimia
Kwa mara ya kwanza Mei 31, 2020, baadhi ya magari yalianza kupita kwenye barabara ya juu ya Ubungo, baada ya kuanza kutumika kwa ajili ya majaribio, barabara ambayo imeweza kubadili taswira nzima ya Jiji la Dar es Salaam na kupunguza msongamano wa magari.