Simba SC mzigoni VPL dhidi ya Ihefu leo
Wekundu wa Msimbazi Simba SC ambao ndiyo mabingwa watetezi wa VPL saa 10:00 jioni ya leo Disemba 30, 2020, wanatazamiwa kukipiga dhidi ya klabu ya Ihefu FC ya Jijini Mbeya mchezo utakaochezwa kwenye dimba la Mkapa jijini Dar es salaam.