Wachezaji watano Simba SC kutolewa kwa mkopo
Uongozi wa klabu ya Simba SC kupitia kwa Afisa Mtendaji Mkuu wake Barbara Gonzalez amethibitisha kuwatoa baadhi ya wachezaji kwa mkopo ili kukuza uwezo wao, baada ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Mabingwa hao watetezi wa VPL.