Chin Bees awadhihaki wanaofanya muziki wa Trap
Licha ya wakali wote wanaofanya muziki wa Trap Bongo kama Country Boy, Moni Centrozone, Young Lunya na wengineo lakini bado Chin Bees amesema kwa sasa bado hajaona msanii anayefanya muziki huo labda watokee wasanii wengine.