TAKUKURU yarejesha Trekta la serikali
TAKUKURU mkoani Mara imefanikiwa kuwarudishia wanakikudi wa Minazini, Trekta lenye thamani ya shilingi Mil. 39, ambalo lilikuwa ni mali ya kikundi hicho baada ya kikundi hicho kuchukua mkopo wa Mil. 6 hali ilipelekea mkopeshaji kulichukua trekta hilo kinyume na makubaliano ya awali.