2020 ilivyoondoa umaarufu wa Makonda ghafla

Paul Makonda, aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mapema mwezi Julai alitia nia ya kuwania ubunge wa jimbo la Kigamboni, ambapo katika kura za maoni alitupwa mbali na aliyekuwa mshindani wake Dkt Faustine Ndugulile, baada ya yeye kupata kura 122 na mwenzake kupata kura 190.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS