Waliomuuwa Mawazo wa CHADEMA kunyongwa

Alphonce Mawazo, wakati wa uhai wake.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita, imewahukumu kunyongwa hadi kufa, washtakiwa 4, akiwemo Alphan Kyalubota, Epafla Mapinda, Mashimu Omary na Kululinda Richard, kwa kosa la kumuuwa kwa kukusudia aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, mkoani humo Alphonce Mawazo, aliyeuawa mwaka 2015.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS