Fahamu undani wa tukio la Askari aliyejeruhi
Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, na kitu chenye ncha kali, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni.