Wababe wa jiji la Manchester uso kwa uso Carabao
Watani wa jadi wa jiji la Manchester Nchini Uingereza vilabu vya Manchester United na Manchester City, vinataraji kuchuana kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Carabao wakati Tottenham Hotspurs imepangwa kucheza na Brentford kutoka ligi daraja la kwanza.